BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU - wazawaswaggz

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, September 6, 2018

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU


 Rais John Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) kuchukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Valentino Mlowola ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages