Serikali yaingilia Kati Bajaji ya Mtanzania iliyokosa Kibali - wazawaswaggz

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, September 6, 2018

Serikali yaingilia Kati Bajaji ya Mtanzania iliyokosa Kibali

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa maagizo kwa SIDO na Chuo cha Usafirishaji NIT kuhusu BAJAJI iliyoundwa na Mtanzania ambapo amesema kabla ya September 14, 2018 iwe imerekebishwa kwa kuondolewa CM 10 iliyosababisha BAJAJI hiyo ikose kibali cha kuingia barabarani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages